Friday

Ni kipindi kinacho zungumzia masuala ya Kijamii katika mlengo wa Kiislaam lengo ni kuelimisha na kuburudisha. Tunakuwa mawaidha kutoka kwa mashekh mbalimbali na tunaalika waimba qaswida na nasheed sambamba.

Time(s): 
  • 14:00 - 16:00
Host: 
Fatma Suleiman & MouSaliim